MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Walezi wa nyumba ya Watoto wa Kijiji cha SOS Mombasa Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akijumuika na Watoto wa Kijiji cha SOS katika futari aliowaandaliwa watoto hao.
MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Iddi akijumuika na Watoto wa Kjiji cha SOS katika futari uiliondaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
WATOTO wa Kijiji cha SOS Mombasa wakipata futari iliondaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.wakiwa ksatika viwanja vya kijiji hicho.
WATOTO wa Kijiji cha SOS Mombasa wakipata futari iliyoandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.wakiwa ksatika viwanja vya kijiji hicho.
HIVI ndivyo ilivyokuwa kwa watoto wa SOS wakipata futari iliyoandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar kwa ajili yao.
WATOTO wa SOS wakijichana kwa mahanjumati kijijini kwao
MMOJA wa Mtoto anayeishi katika Nyumba ya Watoto SOS akisoma risala yao kwa niaba ya watoto wenzake baada ya kumaliza kufutari, kutowa shukrani zao kwa Mke wa Rais wa Zanzibar, kwa kuwaandalia futari hiyo katika makaazi yao na kumuomba kuendelea na utaratibu huo.kwa siku zijazo katika mwezi wa Ramadhani.
No comments:
Post a Comment