Habari za Punde

MDAU ILIBIDI NIJUMUIKE KUTOWA HUDUMA


 MDAU nikiwa najumuika kupokea baadhi ya maiti zilizoopolewa katika bandari ya Nungwi kutokana na msiba huu kutugusa kwa kiasi kikubwa kila Mzanzibari ameguswa na msiba huu wa ndugu zetu waliopata ajali hiyo. 
MDAU wa Blog ya JIKUMBUKE,  Othman Mapara, akimsaidia mmoja ya watoto walionusurika katika ajali ya meli ya Mv Spice iliyotokea wiki iliopita katika mkondo wa Nungwi.

1 comment:

  1. Hongera kaka Mapara! moyo ..huo ..huo.tutafika tuu!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.