Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya Baraza la Eid El-Haj, baada ya swala ya Idd iliyofanyikaKitaifa kwenye Msikiti wa Al farouq Kinondoni jijiji Dar es Salaam leo
Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania, Ally Muhidin Mkoyogole, akiswalisha swala hiyo iliyofanyika Kitaifa katika msikiti huo sambamba Baraza la IddMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal Wa pili (kulia) Rais Mstaafu wa Comoro, Mohammad Abdallah Sambi (kulia) Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania, Ally Muhidin Mkoyogole na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, wakijumuika na waumini wa dini ya kiislam katika swala ya Eid El Haj, iliyofanyika Kitaifa katika msikiti huo sambamba na Baraza la Idd katika Msikiti wa Al Farouk, uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam leo
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akitoa mawaidha kwa waumini wa dini ya Kiislam baada ya swala ya Idd, iliyofanyika Kitaifa katika Msikiti wa Al Farouk Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Novemba 6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam waliohudhulia swala ya Idd El Haj, baada ya kumalizika kwa swala hiyon iliyofanyika katika msikiti wa Al Farouk uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam leo
Picha na Muhidin Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment