Labels
- .
- `
- 8
- AFYA
- AFYA.
- AJALI
- BIASHARA
- BURUDANI
- DINI
- ELIMU
- FILAMU
- HABARI
- HARUSI
- HOSPITALI
- I
- JAMII
- KATUNI
- Kii
- KILIMO
- KIMATAIFA
- KITAIFA
- Ku
- MAGAZETI
- Mahkamani
- MAISHA
- MAKALA
- MAKALA AFYA.
- MAKALA.
- MATUKIO
- MATUKIO.
- MICHEZO
- MITAANI
- MIUNDOMBINU
- MSAADA
- Ok
- SIASA
- TANGAZO
- TAWA YAWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI
- TEKNOLOJIA
- UCHUMI
- UTAFITI
- UTALII
- VIDEO
- VIJANA
- WEZI
Tafsiri ya Lugha
Popular Posts
-
SHEIKH JABIR HAIDAR AL FARSY ameariki dunia, Usiku wa kuamkia Jumatano-28.5.25. Maziko yatafanyika Leo Alhamisi 29.5.25, kwa wanawake wataku...
-
akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza jambo na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lam...
-
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiweka jiwe la msingi, kuashir...
-
Katibu wa Chama cha ACT -Wazalendo Wa Jimbo la Tanga Mohamed Salim Ponda (kushoto) akimkabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea Ubu...
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan, Mheshimiwa Hiromasa Nakano...
-
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Japan Ishiba Shigeru kwenye mazungumzo rasmi yaliyolenga kuimarisha uhusiano wa k...
-
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi m...
-
Serikali imetoa onyo kali kwa watu na kampuni zinazoendelea kuzalisha bidhaa za mifuko ya plastiki iliyopigwa marufuku na kuingiza katika ...
-
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kikao cha Ha...
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza katika Majadiliano ya Viongozi wa Juu kuhusu “Umuhimu...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
BLOGU RAFIKI
-
-
TAKUKURU TANGA YABORESHA MFUMO WA HUDUMA ZA UDHIBITI TAKA NGUMU JIJINI TANGA - Na Oscar Assenga, TANGA TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoani Tanga (Takukuru) imesema kwamba moja ya mafanikio ya utendaji wake kazi katika kip...2 days ago
-
Habari : TAKUKURU Yaokoa zaidi ya milioni 300 zilizopotea kupitia akaunti feki ya kijiji cha Msufini, Pwani - Na Khadija Kalili, Michuzi TV Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Pwani katika kipindi cha Januari hadi Machi 2025 ilifanikiwa...2 days ago
-
MAHOJIANO YA TAUSI SUEDI NA AMRI NGOYE KUHUSU CSI KUPITIA KWANZA PRODUCTION NCHINI MAREKANI - Pata habari motomoto kupitia facebook kwa kulike huu ukurasa wetu https://www.facebook.com/pages/Pamojapureblogspotcom/312633955485619?ref=hl6 years ago
Marafiki Duniani
Popular Posts
-
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili Zanzibar majira ya mchana kwa Ndege na kuendelea na taratibu za Maziko yatafanyika katika Mtaa wa...
-
The United Republic Of Tanzania National Examination Council of Tanzania Form Four Examination Results 2017/2018 The National E...
-
Makamanda wa JWTZ wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Waziri Kiongozi wa Kwanza wa Zanzibar na Brigedia Jenerali Mstaaf Ramadhani Haji Faki...
-
Na Miza Kona/Rahma Khamis Maelezo-Zanzibar Jumla ya wanafunzi 16,744 wamechaguliwa kuendelea masomo ya kidatu cha tatu kati ya wanafun...
-
Bwana Harusi Lusajo Sajent Mwangambaku (kushoto), akiwa katika pozi na mke wake Neema Stanley Matowe katika hafla yake ya ndoa iliyofa...
-
Mama mjazito akihangaika na hatimaye kupoteza maisha kutokana na mimba za utotoni..Video ipo hapo chini baada ya maelezo mafupi
-
TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SITA NA DARASA LA NNE YA MWAKA 2017, JUMATATU TAREHE 29 JANUARI 2018....
-
Madawa na Maji vilivyokabidhiwa na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, kwa Wizara ya Afya kwa ajili ya Kambi za K...
Inafaa wakubwa waliangalie sana hili suali la usafi wa mazingira. Tumekuwa hatujali masuali ya usafi zaidi sehemu kama hizi muhimu na nyenginezo. Tunadharau, tunajidharau na watu zaidi wageni wakituona tuko hivi nao pia wanatudharau. Wenye dhamana zao tafadhalini wachukue hatua kutengeneza na kuyang'arisha maeneo kama haya na mengineyo. Au mpaka tusubiri atokezee mgeni au mfadhili pia agharimie jambo hilo. Aibu tupu.
ReplyDeleteMimi sishangai hivi ndivyo utawala wa wakulima na wakwezi unavyokua lakusikitisha tu ni kwamba kuna watu ati wanataka zanzibari huru ili wazidi kuwapa pawa wakulima na wakwezi watuadhibu.
ReplyDeleteMimi nna wasi wasi hivi visiwa vina laana. Haiwezekani kila siku watu wanasoma na 'kugraduate' halafu washindwe kufikiri sawasawa.
ReplyDeleteSuala hapo si usafi pekee, eneo lenyewe hilo limeshakua dogo! hebu tazama; Maghala, gati ya majahazi, kisoko cha samaki,chelezo ya kufanyia matengenezo vyombo vidogo vidogo, magenge ya vyakula vyote vipo hapo, wakati eneo kama hilo limefika 'kwa mpigaduri'kuelekea Maruhubi..wahadimu bwana!!
Ipo haja ya kukusanya Mashekhe wote wa dunia kuja kuviombea dua visiwa vyetu...Haiwezekani..kuna namna!
Kuna rafki yangu mmoja kanambia SMZ imepima viwanja Tunguu lkn. wamesahau kutenga eneo la makaburi ya jumuiya(public cementry)..yaani wasiwokua na shamba waende kwerekwe(12km.kutoka Tunguu).
Leo hii wapo China eti wanaangalia uwezekano wa kusaidiwa kujenga daraja kutoka Z'bar hadi DSM. wakati badari ya madagaa malindi imeoza! Feri palikua kama vile, nenda leo hii, hupajui! waliiomba serikali ya Japani..aah, leo safii! sisi tunaomba daraja Z'bar-Dar.