Wananchi wakitowa msaada gari ilioacha njia na kuingia katika kolongo jirani na uwanja wa Daizi Mchangani, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa na hatimai wamefanikiwa kuitowa katika kolongo hilo, barabara hiyo ya Malindi inafanyiwa matengenezo makubwa ya kuwekewa lami mpya ili kuimarisha miundombinu ya barabara za mjini.
MASTERCARD YAITAMBUA EXIM BANK TANZANIA KWA TUZO MBILI, IKITHIBITISHA
UONGOZI KATIKA HUDUMA ZA ELITE NA MATUMIZI YA KADI
-
Mastercard leo imefanya ziara yake maalumu katika makao makuu ya Benki ya
Exim Tanzania jijini Dar es Salaam, kuimarisha zaidi ushirikiano wa
kimkakati ka...
7 hours ago
0 Comments