Habari za Punde

Dk Shein Azindua Shughuli za Utoaji Zakka Zanzibar





Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,akizindua Shuhuli za Zakka Zanzibar katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar jana,(kushoto) ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad,na (kulia) Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Alhaj Nassor Ahmed Mazrui.


Baadhi ya Viongozi wa Kidini Mashekhe na wananchi wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,katika uzinduzi wa Shuhuli za Zakka Zanzibar,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, jana.

Sheikh khamis Abdulhamid akitoa mawaidha juu ya umuhimu na wajibu wa kutoa Zakka,katika hfala ya uzinduzi wa Shuhuli za Zakka Zanzibar,katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja jana,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,
Baadhi ya Viongozi wa Kidini Mashekhe na wananchi wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,katika uzinduzi wa Shuhuli za Zakka Zanzibar,uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, jana.

Kaimu Waziri wa Katiba na Sheria na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Alhaj Nassor Ahmed Mazrui,akisema machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, kuzindua Shuhuli za Zakka Zanzibar,katika hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.



Baadhi ya Akinamama waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Shuhuli za zakka Zanzibar,wakisikiliza Nasaha zilizotolewa kwa waislamu mbali mbali wa Miji ya Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizindua Shuhuli za utoaji wa Zakka,katika ukumbi wa Salama bwawani Mjini Unguja .

 PICHA ZOTE NA RAMADHAN OTHMAN IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.