Habari za Punde

Dk. Shein Akutana na Rais Kikwete na Makamu wa Rais wa Tanzania Dk. Bilal Ikulu

Rais Jakaya Mrisho Kikwete,  Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakiwa katika maongeze  walipofika katika Ikulu ya Zanzibar kuonana na Rais Shein  baad ya kutmbelea majeruhi na kutembelea maeneo yaliotengwa kwa ajili ya kupokele maiti katika viwanja vya maisara maongezi hayo yamefanyika  katika Ikulu ya Zanzibar leo.(Picha na Ikulu )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.