Habari za Punde

Sala ya Ijumaa Msikiti wa Muembeshauri Zanzibar.

 Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Suleiman Othman, akitowa hutuba ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa  Muembeshauri Zanzibar.  
 Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakisikiliza hutba ya Ijumaa ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Suleiman Othman, akisoma katika  Msikiti Mkuu wa Ijumaa Muembeshauri Zanzibar.
 Mtafsiri wa lugha kwa vitendo kwa Watu wasiosikia akitafsiri kwa Waumini hao waliohudhuria Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Muembeshauri Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.