Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na kumpongeza Mwakilishi mpya wa Jimbo la Bububu
Mh,Hussein Ibrahim Makungu,(kulia) CCM,kwa kushinda uchaguzi mdogo wa
jimbo hilo,alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar,kushiriki katika kikao cha Kamati maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo.
Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Dk.Amani Abeid Karume,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,kwa pamoja wakiwa wamesimama
kabla ya kuanza kikao cha siku moja cha Kamati maalum ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar.

Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa
Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume, akiendesha kikao cha kamati maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali
Mohamed Shein.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM
Zanzibar,wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake,
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Amani
Abeid Karume,wakiwa katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar,kilipofanyika kikao hicho leo.
Makamo Mwenyekiti wa CCM na Rais Mstaafu wa Zanzibar
Dk.Amani Abeid Karume, akiendesha kikao cha kamati maalum ya
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ya Zanzibar,katika ukumbi wa CCM
Kisiwandui Mjini Zanzibar,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Ali
Mohamed Shein,(kulia) Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment