Habari za Punde

Sherehe Wanafunzi wa Zanzibar Waliosoma India.

Balozi Mdogo wa India Balozi Kumar. akitowa hutuba katika sherehe za kuwapongeza Wanafunzi waliopata mafunzo ya Kozi mbalimbali Nchini India.


Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Thuwaiba Kisasi, akitowa hutuwa wakati wa sherehe za kuwapongeza Wanafunzi waliochukuwa mnafunzo yao Nchini India wakati wa sherehe ilioandaliwa na Balozi Mdogo wa India Zanzibar.


 Wazanzibar waliopata mafunzo ya Kozi mbailmbali Nchini India wakimsikiliza Naibu Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Thuwaiba Kisasi wakiwahutubia katika sherehe hizo zilizoandaliwa na Balozi wa India nyumbani kwake Mazizini.
Mzanzibar alioepata Mafunzi Nchini India akitowa shukrani wakati wa sherehe za kuwapongeza ilioandaliwa na Balozi Mdogo wa India Zanzibar Mhe Kumar. nyumbani kwake mazizini
Mwanafunzi ambaye amefanya Mafunzo Nchini India akitowa shukrani zake wakati wa sherehe za kuwapongeza Wanafunzo waliopata mafunzo yao Nchini India wakati wa sherehe ilioandaliwa na Balozi Mdogo wa India Zanzibar Nyumbani kwake Mazizini.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.