Habari za Punde

Kufungwa kwa Semina ya kuimarisha uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji

Viongozi mbali mbali wakiwa wajumbe wa Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakitoka nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza kwa mkutano huo jana,Zanzibar Beach Resort, Nje kidogo ya Mji wa Unguja

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,DK.Ali Mohamed Shein,pia Mwenyekiti wa Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar, akibadilishana mawazo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,mara baada ya kuifunga semina hiyo jana,katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, Nje kidogo ya Mji wa Unguja
 
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.