Habari za Punde

Stone Town na Usolo Kombe la Karume

 Mchezaji wa timu ya Usolo Fred Kisasi kushoto na mchezaji wa timu ya Stone Town Msafiri Ramadhani, wakiwania mpira katika mchezo wa fainali za Kombe la Karume, zinazofanyika katika uwanja wa Gymkhana.
 Mchezaji wa timu ya Usolo Khamisi Juma akiwa na mpira akiwapita wachezaji wa timu ya Stone Town  
 Mchezaji wa timu ya Usolo Raphael Alfonse, akimpita mchezaji wa timu ya Stone Town, Saad Mahafuodh. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.