Watendaji katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,(Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa).wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa),katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
TIA YAANZISHA KAMPASI MPYA MKOANI TANGA
-
NA EMMANUEL MBATILO
TAASISI ya Uhasibu Tanzania (TIA) imeanzisha Kampasi mpya ya TIA mkoani
Tanga, ambayo inalenga kuhudumia wanafunzi kutoka kanda ya Kask...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment