6/recent/ticker-posts

Dk Shein akutana na Mkurugenzi wa benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania,Uganda na Burundi,Philippe Dongie,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na Rais, leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa Nchi za Tanzania,Uganda na Burundi,Philippe Dongie,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,IKulu.]

Post a Comment

0 Comments