Habari za Punde

Mahanjumati ya kizenji

Walimu wa kujitolea wa Mama Nursery iliyopo Uzi Meli Nne wakiwa katika darasa la kupika chapati. Walimu hawa wanapenda mno mapishi ya Kizanzibari na wamedhamiria kuwa wataalam wa kupika vyakula vya kiswahili kwani ni vitamu yakhe. Kutoka kushoto ni mwalimu Nuru akifuatiwa na Bi. Mariam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.