Habari za Punde

Rais KIKWETE Ashiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini.

 
  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika viwanja vya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini Dar -es-Salaam leo. 
 

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ,Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila,baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini yaliofanyika katika viwanja vya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini. Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
 Viongozi wa dini ya Kihindu wakielekea kwenye kipaza sauti ili kuomba dua leo Februari 6, 2013 wakati wa  maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini. Viongozi wa dini za Kiislamu na Kiktristo pia walishiriki kwenye maadhimisho hayo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu  Rais wa Mawakili leo Februari 6, 2013  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria.

1 comment:

  1. samahani nd kikwete lakini umeshiriki sherehe na majambazi waliovaa uniform wenye kuwanyonya wanyonge na kuwauzia haki wenye kuwapa mapesa... hawana uadilifu wowote , kama mimi mwongo fanya utafiti , utaona katika hao waliokuzunguka basi asilimia kubwa ni ktk hayo majambazi niyayokuzungumzia

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.