Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Al Youseif Sheikh Abdullah Mohamed Alyouseif,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana Rais jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Al Youseif Sheikh Abdullah Mohamed Alyouseif,alipofika Ikulu Mjini
Zanzibar kuonana Rais jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment