Hichi ni Kisima cha Chini kwa Chini katika Pango la Mwangapwani muonekano wake kwa ndani.
Ngome ya Mjerumani wakati wa Vita vya Pili ni moja ya Kivutio cha Utalii katika Kijiji cha Mwangwapwani na kuwaingizia Kipato Wananchi wa Kijiji hicho kutokana na Mapato yanayopatika kwa wageni wanaotembelea eneo hilo.
Kivutio cha Watalii katika Kijiji cha Mwangapwani Mnara uliokuwa ukitumiwa na Mjerumahi.
No comments:
Post a Comment