Habari za Punde

Dk.Shein Azinduwa Jengo la SACCOS Meli Nne.Kwerekwe Zenj.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka jiwe la Msingi la Jemgo la Mikutano la SACCOS Meli Nne Kwerekwe Zanzibar, Saccos hiyo ina jumla ya Wanachama Mia Tisa ikiwa ikiongozwa na Katibu na Mwenyekiti wake Wanawake na Wanachama wake karibu asilimia 75 ni wanawake. 
 Wanachama wa Meli Nne SACCOS wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia baada ya kuzindua jengo lao jipya lenye Ofisi za Saccos hiyo.

Jengo jipya la Saccos ya Meli Nne, ambalo limezinduliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein. 
Jengo la Mikutano likiwa katika hatua za ujenzi wake na kuwekewa jiwe la  Msingi na Rais wa Zanzibar Dk. Shein.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.