Habari za Punde

Ikulu Zanzibar yaibamiza Ikulu Dar katika Netboli na mpira wa miguu

 Mchezaji wa Timu ya mpira wa mikono Netball ya Ikulu ya Dar es Salaam Haika Masoud akimzuia Beshuu Abdalla wa Ikulu ya Zanzibar,wakati wa Mchezo wa Kirafiki katika michezo ya Sherehe za
Pasaka,mchezo huo ulichezwa viwanja vya Amani Nje,Ikulu ya Zanzibar iliifunga Ikulu ya Dar es Salaam kwa vikapu 26-14
Mchezaji wa Timu ya Ikulu ya Zanzibar Mpira wa miguu Ali Mwinyi (kulia) akijaribu kumcheza Shaaban Kasanga wa Timu ya ikulu Dar es Salaam,katika mchezo wa Kirafiki katika kusherehekea wiki ya Pasaka,katika mchezo huo uliochezwa leo katika Uwanja wa Amaan Studium,Ikulu Zanzibar ilitoka kifua mbele kwa mabao 4-2.

(Picha na Ramadhan Othman Ikulu.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.