Habari za Punde

Mambo safi baada ya kufanyia ukarabati leo.

Sehemu iliokuwa umeharibika kutokana na mvua ilionyesha jana  na kuleta uharibifu katika miundombinu ya barabara, katika mitaa ya mji mkongwe maeneo ya mkunazini ikiwa tayari imeshafanyiwa matengenezo na taasisi inayohisika ili kuweka sawa na kutowa huduma kwa watembea kwa miguu wanaotumia njia hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.