Habari za Punde

Mradi wa Maji Safi kwa Jimbo la Kikwajuni.

Mafundi wakiweka paipi ya maji kwa ajili ya kutowa huduma ya maji kwa Wananchi wa jimbo la Kikwajuni katika eneo la kikwajuni Mao Mhe, Masauni akishirikiana na Wananchi wa jimbo hilo kuhakikisha huduma hiyo inapatikana kwa uhakika na salama.wakiweka paipu hiyo katika maeneo ya barabara ya mao.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.