Habari za Punde

Wafanyakazi wa Manispa Zanzibar wapigwa Msasa wa Usafi


Mstahiki Meya wa Mji wa Zanzibar Abdulrahman Khatib akifungua semina ya namna bora ya kushughulikia Mazingira ya Usafi na kuondoa Uchafu katika maeneo ya Mji wa Zanzibar, kwa kutowa mafunzo kwa Washiriki hao uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar..
Washirika wa Semini ya kuwawezesha Washiriki wa mbali mbali kutoka taasisi zisizokuwa za Kiserikali wakimsikiliza  Mstahiki Meya wa Mji wa  Zanzibar wakati akifungua semina kuhusu kusimamia vizuri uchafu


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.