Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel Zanzibar Mohammed Baucha akitaja washindi wa shindano la ZANTELla ogeza Salio ujishindie zawadi kemkem zinazotelea na kampuni hiyo ya Zantel,Jumla ya Washindi 8 wamejishindia zawahi hizo, Washindi watano wamejishindia Mordem ya 3G, Masoud Khalfan Zubery mkaazi wa Kisiwani Pemba Wilaya ya Wete amejishindia shilingi milioni moja, Abdalla Suleiman Hassan amejishindia Media Pad na Nassor Ali Khamis amejishindia Vespa, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi za Zanteljengo la Muzamil Mlandege Zanzibar.
Mkurugenzi wa Masoko wa ZantelZanzibar Mohammed Mussa Baucha akimkabdhi zawadi yake mshindi wa Ongeza Salio ujishindie zawadi Abdalla Suleiman, mshindi wa Media Pad.makabidhiano hayo yamefanyika Ofisi za Zantel Mlandege jengo la Muzamil.
Mkurugenzi wa Masoko wa ZantelZanzibar Mohammed Mussa Baucha akimkabdhi zawadi yake mshindi wa Ongeza Salio ujishindie zawadi Nassor Ali Khamis, amejishindia vespa katika Ofa hiyo, makabidhiano hayo yamefanyika Ofisi za Zantel Mlandege jengo la Muzamil.
Mshindi wa Zawadi ya Vespa Nassor Ali Khamis,Mkaazi wa Bububu akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhiwa zawadi yake hiyo baada ya kuengeza salio zaidi na kujishindia vespa hiyo ikiwa ni yatatu tangu kuaza kwa ofa hiyo inayowashirikisha wananchi wa Zenj na Pemba.
Kama mambo haya ya kutoa zawadi kwa wateja wenu wa zanzibar mlianza mapema mngekuwa mbali. Ubinafsi wenu umewafanya wateja wenu wengi wa zanzibar kuwakimbia. Hata wafanyakazi nao wanawakimbia. Tafadhali fanyeni mageuzi ya utendaji!
ReplyDelete