MAFUNDI wa shirika la Umeme Tawi la Pemba, wakiwa katika harakati za kuunyoosha waya mkubwa wa umeme kwa ajili ya kubadilishwa laini katika tasfoma inayotakiwa kuhamishwa, iliyopo kwenye soko la chake chake Pemba. (picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
MAFUNDI wa shirika la Umme Tawi la Pemba, ZECO wakiwa kifungua tansfoma kubwa iliyopo katika eno la solo la Chake Chake, kwa lengo la kuhamisha na kuiweka sehemu nyengine, Tansfoma hiyo kwa muda mrefu ilikuwa ikiripuka ripuka moto kila wakati. (picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
Mpina, Fatma Wateuliwa Rasmi Kugombea Urais Kupitia ACT-Wazalendo
-
*Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam*
*Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji wa Mahakama ya
Rufaa Jacobs Mwambegele, amewakabidhi fomu...
1 hour ago
Yaani hili ndio soko la Chake-chake...hii sio nyumba ya mtu?...itakua mpiga picha amekosea.
ReplyDeleteNa kama ni kweli hili ndio soko, basi watu wa sehemu hii hawana haja ya kuwa na mwakilishi au Mbunge.
Na kama wana mwalikishi na mbunge basi itakua ni kutoka chama cha PONA, SAU, JAHAZI au NRA!