Habari za Punde

Harakati za maandalizi ya mahitaji ya Futari na Sikukuu katika mitaa ya mji mkongwe.

Wananchi wakiwa katikaharakati za maandalizi ya watoto wao kwa ajili ya sikukuu wakiwa katika maduka ya nguo na viati
 Mambo ya Marikiti hayo ya maandalizi ya futari katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa ramadhani marikiti ya darajani pirika zimekuwa nyingi katika marikiti hiyo kwa wananchi kufuata mahitaji

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.