Habari za Punde

Wadau wa Zao la Karafuu wakirudi na Viroba vyao.

       Wananchi wa kijiji cha Chamani wakiwa na vipolo vya wakirudi kuchuma karafuu, wakitumia usafiri wa baskeli ni moja ya usafiri mwepesi na wa haraka katika maeneo ya vijijini. 

1 comment:

  1. Ahsante kwa picha nzuri. Niliishi kijiji hichi takriban miaka 25. Siamini Leo nipo kwa Obama. Mtu Ni kwao. I miss it alot!.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.