Habari za Punde

Maandamano ya Kusherehekea Kuzaliwa kwa Mtume S A W.

Maandamano ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakipita katika barabara ya michezani kuelekea katika viwanja vya mnazimmoja, ikiwa ni kusherehekea kwa kuzaliwa Mtume Muhammad SAW, huadhimishwa kila mwaka ifikapo Mwezi 12 Mfungo Sita.
Maandamano yakiongozwa na Farasi na Ngamia ikiwa ni kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SAW, huadhimishwa na Waumini wa Kiislam Duniani kote. 
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiungana na Waislam wengine Duniani kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SAW huadhimishwa kila ifikapo mwezi 12 mfungo sita.
Wanafunzi wa Madrasa wakiwa katika maandamono ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad SAW. wakipita katika mitaa ya michezani Zanzibar. 
Vijana wa Madrasa wakiwa na Mabango yenye Ujumbe wa kuimarisha dini ya Kiislam na hadithi za Mtume SAW.
                                     Vijana wa Madrasa wakipiga Dufu katika maandamano hayo


2 comments:

  1. Na huyo alopanda ngamia ndio mtume mwenyewe?

    ReplyDelete
  2. Astakhafirullah wacha kukufuru wewe! Muogope ALLAH au unataka kuangamizwa?nakutahadharisha mara ya pili usiandike msg kama hizo!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.