6/recent/ticker-posts

Mwakilishi wa RahaleoApongeza Wanafunzi wa Skuli za Rahaleo Mumbeshauri na Makadara kwa kufanya Vizuri Mitihani ya Michupuo

Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe. Nassor Salim Jazira, akimkabidhi zawadi kwa ajili ya Skuli tatu za jimbo hilo kwa kufahaulisha Wanafunzi 40 kuendelea na Masomo yao ya Mchipuo baada ya kufanya vizuri mtihani wao wa darasa la saba.Mwalim Mkuu wa Skulin ya Rahaleo Bi.Thania Hassan Haji, akipokea kwa niaba ya skuli zote   
 Mwakilishi wa Rahaleo Mhe. Nassor Salim Jazira, akizungumza na Wanafunzi wa skuli ya Rahaleo wakati wa mkutano wa kuwapongeza kwa kufanya vizuri mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi na kufaulisha Wanafunzi 40, Amewapongeza Wanafunzi waliofaulu kuingiamichipuo na kuwaahidi kuwazawadia, Wanafunzi waliofauli kutoka Skuli ya Rahaleo 13, skuli ya Muembeshauri 21 na skuli ya Makadara imefaulisha Wanafunzi 6, hafla hiyo ya kukabidhi madaftari kwa wanafunzi wa skuli hizo imefanyika katika viwanja vya skuli ya rahaleo. 

Skuli ya Rahaleoakitowa shukrani  kwa niaba ya Wanakamati na Wanafunzi kwa msaada huo kwa wanafunzi wa skuli hizo tatu , kwa kukabidhiwa mabuku na vifaa vya elimu. 
  Wanafunzi wa Skuli ya Rahaleo wakimsikiliza Mwakilishi wao alipofika kuwakabidhi zawadi kwa kufanya vizuri mitihani yao.


Post a Comment

0 Comments