Habari za Punde

Hii Kero kwa Muda Mrefu Maji yakimwagika Barabarani.

Eneo hili ndilo lililopita bomba kuu la maji yanayokwenda kutowa huduma ya maji safi na salama likiwa linamwaga maji barabarani bila ya msaada wowote kuchukuliwa na Taasisi husika kuzuia tatizo hili kwa sasa ni karibu miezi mitano hali ndiyo hii.Maji yakipotea bure ila ya sababu yoyote ile. 
 Hivi ndivyo ilivyo katika eneo hilo jirani na kiwanda cha Sigara cha Zamani kwawa sasa ni hala la Madawa Zanzibar na Idara ya Uchapaji maruhubi Zanzibar, maji yakielekea barabara.  
                          Gari ikipita na kurusha maji hayo kama inavyoonekana pichani hapa.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.