Naibu Mkurugenzi wa Utalii katika Mji wa Lijiang
Bi Ma Li Yuan, akizsungumza na waandishi wa habari na Maofisa Habari kuhusiana
na Ukuaji wa Utalii katika mji huo,ambao huigiza kipato kikubwa kupitia Utalii
wa ndani katika mji wa lijiang.
Waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika
wakimsikiliza Bi Ma Li akizungumzia mafanikio ya Utalii wa ndani katika mji wa
lijiang ambao huingiza mapato
makubwa kupitia malipo yanayopatikaka
katika kutembelea sehemu za Utalii kwa wananchi wanaotembelea sehemu hizo
Kiongozi wa msafara wa Waandishi wa Habari na
Maofisa Habari kutoka nchi za Afrika, Ndg Abel Fayiah, akitowa shukrani kwa
Uongozi wa Mji wa Lijiang, wakati wa ziara yao kutembelea sehemu za historia
katika mji huo na kutembelea vituo cha habari vya magazeti na TV, jumla ya
waandishi 16 wameshiriki semina hiyo kutoka Nchi za Afrika
No comments:
Post a Comment