Habari za Punde

Wadau wakifuatilia Vichwa vya habari katika magazetini.

Wananchi wa Mji wa Zanzibar wakifuatilia habari za matukio kupitia vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali yaliotoka siku ya leo ili kuona gazeti lenye habari nzuri ili kuweza kununua na kupata habari zaidi katika gazeti hilo, wakiwa katika eneo la darajani kwa bakresa.   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.