Habari za Punde

ZEC yafanya mkutano na wadau wa uchaguzi Pemba

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar,  ZEC, Salim Kassim Ali, akitowa maelezo juu mkutano wa Wadau wa Uchaguzi huko katika ukumbi wa hifadhi Chake Chake Pemba.


Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar , (ZEC) wakiwa katika muitano na Wadau wa Uchaguzi Pemba.


Wadau wa Uchaguzi Pemba, wakimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) akati akifunguwa  mkutano kwa Wadau hao

PICHA NA BAKAR MUSSA-PEMBA.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.