Wafanyabiashara katika marikiti kuu ya darajani wakiwa katika harakati za
biashara zao wakisubiri wateja kufuata mahitaji yao marikiti hii ni moja ya
mariki za historia katika mji wa Zanzibar na kivutio cha watalii wanaofika
Zanzibar.
Eneo la marikiti kuu ya darajani likiwa katika hali ya usafi baada ya Baraza la
Manispa Zanzibar kuwazuiya
wafanyabiashara katika eneo hilo kutofanya biashara, agizo hili liwe endelevu
ili kuliweka eneo hili katika hali ya muonekano wake wa usafi katika mazingira
ya marikiti hiyo
No comments:
Post a Comment