Habari za Punde

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BILL CLINTON JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kisha kufanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Marekani Mhe Bill Clinton Ikulu jijini Dar es salaam leo April 28, 2015.
Rais huyo wa 42 wa Marekani yuko nchini  kukagua miradi ya maendeleo na afya inayofadhiriwa na taasisi za Clinto Development Initiative (CDI) na Clinto Health Access Initiative (CHAI).
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete akizungumza na mgeni wake Rais Mstaaf wa Marekani Bill Clinton  Ikulu Dar-es-Salaam leo kwa kukagua miradi ya maendeleo ya Afya.inayofadhiliwa na Taasisi ya Clinton 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.