MWAKILISHI viti maalumu wanawake CUF
wilaya ya Chake Chake Mhe: Salma Mohamed Ali, akimkabidhi dawa na vifaa tiba
daktari dhamana wa hospitali ya Chake Chake, dk,Yussfu Hamad Idd vilivyotolewa
na mwakilishi wa Jimbo la Chake chake Mhe: Omar Ali Shehe Mei 3 mwaka huu,
kabla ya baadhi ya vifaa na dawa hizo kugunduilika kupitiwa na muda wake wa
matumizi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
BAADHI ya dawa na vifaa tiba zilizotolewa
hivi karibuni na Mwakilishi wa Jimbo la Chake Chake Mhe: Omar Ali Shehe ambazo
tayari zimeshapitiwa na muda wake wa matumizi tokea mwaka 2011 na 2013, ambapo
uongozi wa hospitali ya Chake chake umezigundua wakati wakitaka kuzitumia, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MFAMASIA mkuu wa hospitali ya Chake Chake
Pemba dk Kassim Zahir akionyesha vipamba vya kusafisa damu baada ya kung’olewa
jino, ambavyo navyo ni miongoni mwa vifaa tiba vilivyogundulika kupitiwa na
muda wake tokea mwaka 2013, ambavyo vilitolewa
hivi karibuni na Mwakilishi wa Jimbo la Chake Chake Mhe: Omar Ali Sehe,
pamoja na dawa nyengine. (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
DAKTARI dhamana wa hospital ya Chake Chake
Pemba, dk Yussuf Hamad Idd, akitoa maelezo jinsi watakavyomkabidhi dawa na
vifaa tiba Mwakilishi wa Jimbo la Chake chake Mhe: Omar Ali Shehe baada hivi
karibuni alikabidhi dawa hizo ambazo zimegundulika kupitiwa na muda wake wa
matumizi ambapo nyengine tokea mwaka 2011 na 2013, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment