Habari za Punde

Kamanda wa Jimbo la Chumbuni Afutarisha Wananchi wa Jimbo hilo

Kamanda wa Jimbo la Chumbuni UVCCM Ndg Ussi Salum Pondeza Hanjad akikaribisha wageni wake katika futari aliowaandalia Wananchi wa Chumbuni ikiwa ni kawaida yake kila mwaka hujumuika na Wananchi hao katika futari katika mwezi mtukufu wa ramadhani.
Wananchi wa Chumbuni wakijumuka katika futari ilioandakliwa na Kamanda Hamjad katika viwanja tawi la CCM Muembemakumbi Zanzibar.
                Wananchi wakijumuika katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao.





Mzee wa Chumbuni akitowa shukrani wakati wa hafla hiyo ya futari ilioandaliwa na Kamanda wa Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza.
                 Mzee wa Muembemakumbi akisoma dua baada ya hafla hiyo ya futari.


1 comment:

  1. Mdau wangu wa VIKO sec. school miaka ya mwanzoni mwa 90...siaminin kwamba angekua mwana siasa..kila la heri mkuu!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.