![]() |
| Baadhi ya viongozi wa ngazi ya Juu Katika jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya mazoezi. |
![]() |
| Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro.Fulgence Ngonyani akipokea taarifa fupi toka kwa kiongozi wa kikosi cha kutuliza ghasia. |
![]() |
| Askari Polisi wa vikosi mbalimbali vya jeshi hilo mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika zoezi maalum. |
![]() |
| RPC Ngonyani akiongoza matembezi ya askari Polisi ikiwa ni sehemu ya mazoezi. |
![]() |
| Kikosi cha kutuliza Ghasia ,FFU. |
![]() |
| Matembezi yakiendelea kupita maeneo mbalimbali ya mji wa Moshi. |
![]() |
| Asakari Polis wakiimba nyimbo katika zoezi hilo. |
![]() |
| Wakati mwingine mchakamchaka ulichukua nafasi. |
![]() |
| Hatimaye mazoezi hayo yakafikia tamati katika viwanja vya Polisi vilivyoko katika ofisi za FFU. |
![]() |
| Baadhi ya viongozi wa jeshi hilo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
























No comments:
Post a Comment