ZAIDI YA VITONGOJI 2,350 MKOANI MTWARA VYAFIKISHIWA UMEME
-
-Wananchi wampongeza Rais Samia
-Waahidi kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umefikisha umeme katika vitongoji 2,354
kat...
1 hour ago
Tushaichoka hiyo CCM Tena jamani, miaka tote wapata wao. Tangu tapata akili wapo CCM mbaka leo. I nachosha hasaaa. Waachie na wengine tuwaone watakavyo ongoza.
ReplyDelete