Habari za Punde

Boti ya Royal Ikivutwa leo Baada ya Kupata Hitilafu ikiwa Safarini kwenda Pemba.

Boti ya Royal ikiwa imefungwa na kuvutwa na Meli ya Mv Serengeti baada ya kutokea hitilafu ya kiufundi ikiwa Safarini ikielekea Kisiwani Pemba ikiwa na abiria wakielekea Pemba wakitokea Unguja leo asubuhi.
Meli ya Mv Seregeti ikiwa imeifunga Boti ya Royal iliopata hitilafu ikiwa safari ikitokea Unguja na kuelekea Pemba. Mv Sereketi imetowa msaada huo wakati ikitokea Pembe kuelekea Unguja na kukatisha safari yake na kutowa msaada kwa Boti hiyo kunusuru abiria wake wakiuokuwemo katika Boti hiyo.  
Abiria wa Boti ya Royal wakiteremka katika bandari ya Mkoani Pemba baada ya kufika salama 
Abiria wa Boti ya Royal wakiteremka katika bandari ya Mkoani Pemba baada ya kufika salama
Abiria wa Boti ya Royal wakiteremka katika bandari ya Mkoani Pemba baada ya kufika salama

1 comment:

  1. Wapelekeeni hio meli mpya jamani kuepusha majanga. Ijapokuwa wanauita mtumba, chuma chakavu, pantoni tuwe nao tu ndio ulezi.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.