MAKAMO wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akikata utepe katika barabara ya
Ole-Kengeja yenye Urefu wa KM 35, katika shamrashamra za miaka 52 ya Mpinduzi
ya Zanzibar.
MAKAMO wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, akikunjuwa kitambaa kuashiria
uwekaji wa jiwe la msingi katika barabara ya Ole-Kengeja, yenye Urefu wa KM 35
katika shamrashamra za miaka 52 za Mpinduzi Matukufu ya Zanzibar
VIONGOZI mbali mbali
wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamo wa Pili wa Rais Mhe:Mohamed Aboud Mohamed wapili kutoka Kulia,
wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, wakati alipokuwa
akizungumza na wananchi wa Ole, mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Barabara ya
Ole-Kengeja
WAJUMBE wa Mfuko wa
barabara Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, wakati alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada
ya kuweka jiwe la msingi barabra ya Ole-Kengeja
HALIMA Juma akisoma
utenzi wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya Ole-Kengeja, kazi hiyo
iliyofanywa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi Seif Ali Iddi
WANANCHI mbali mbali
Kisiwani Pemba, wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe:Balozi
Seif Ali Iddi, mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika barabara ya
Ole-Kengeja
KATIBU Mkuu Wizara ya
Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar, Mhe:Dk Juma Malik Akil, akisoma taarifa ya
kitaalamu ya Ujenzi wa Barabara ya Ole-Kengeja, mbele Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe;Balozi Seif Ali Iddi
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid Abdalla,
akizungumza na wananchi wa Ole mara baada ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe:Balozi Seif Ali Iddi, kuwekea Jiwe la Msingi barabara ya Ole-Kengeja.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment