Habari za Punde

Michuano Kombe la Mapinduzi Zanzibar Kati ya Azam na Yanga Timu hizo Zimetyoka Sare ya Bao 1--1

Wachezaji wa Timu ya Azam wakiingia Uwanjani na Basi lao wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi na Timu ya Yanga katika mchezom huo timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1
Wachezajio wa Timu ya Azam wakiteremka katika basi lao baada ya kuwasili katika uwanja huo ili kucheza mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi na Timu ya Yanga.
Kocha Mkuu wa Timu ya Azam akizungumza na kiongozi wa timu hiyo wakati wa matayarisho ya mechi yao na Yanga
Benchi la Ufundi la Timu ya Azam wakiwa uwanja wa Amaan kabla ya kuaza kwa mchezo wao na Yanga.
Benchi la Ufundi la Timu ya Yanga wakati wa mchezo wao na Timu ya Azam wakati wa mchezo wao Kombe la Mapinduzi 
Wapenzi wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia michuano ya Kombe la Mapinduzi linalifanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Kikosi cha Timu ya Young African Spots Club, kilichopambana na Timu ya Azam na kutana sare ya bao 1-1, katika michuano ya Kombe la Mapinduzi zinazofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.  
Kikosi cha Timu ya Azam kilichoilazimisha Timu ya Yanga kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Yanga akimpita mchezaji wa Timu ya Azam wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Zanzibar. Katika mchezo huo Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1
Mchezaji wa Timu ya Yanga akimpita mchezaji wa Timu ya Azam wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Zanzibar. Katika mchezo huo Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1

Wapenzi wa mchezo wa Soka Zanzibar wakifuatilia michuano ya Kombe la Mapinduzi katika Uwanja wa Amaan.
Beki wa Timu ya Azam akiokoa mpira golini kwake kwa kupiga kichwa huku mchezaji wa Timu ya Yanga akiwa tayari akijiandaa.
Beki wa timu ya Yanga akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Azam akimfuata. 

Makocha Wakuu wa Timu ya Yanga na Azam wakizungumza baada ya kutokea kutofahamu wakielekea vyumba vya mapumziko wakati wa mapumziko ya kipindi cha kwanza cha mchezo huo timu hizo zilikuwa sare ya kutofungana. 

Mshamuliaji wa timu ya Yanga akimpita beki wa Timu ya Azam.
Kipa wa Timu ya Azam akidaka moja ya mashutu yaliopigwa na washambuliaji wa Timu ya Yanga
Wachezaji wa Timu ya Yanga na Azam wakimzonga Muamuzi wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1
Wachezaji wa Timu ya Azam na Yanga wakioneshana ubabe wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1
Mchezaji wa Timu ya Yanga akimpita mchezaji wa Timu ya Azam wakati wa mchezo wao wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi inayofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.