Habari za Punde

Nenda kapumzike Landrover Tutakumbuka daima

Kiwanda cha kutengeneza magari ya Landrover nchini Uingereza jana kilitoa gari ya mwisho na kusema sasa basi kwa Gari hizi za Landrover ambazo kwetu Zanzibar ilikuwa ni gari muhimu tokea enzi za ukoloni na hadi hivi leo bado gari hizi zinatumika kutokana na umadhubuti wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.