Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Tasaf Pemba , ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Kisiwani humo, Mwanajuma Majid Abdalla , akiwa pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo katika Ziara ya kutembelea Miradi ya Tasaf 3 katika maeneo mbali mbali Mikoa miwili ya Pemba, wakiwemo wakuu wa Wilaya ya Wete, Mkoani, Micheweni na Wete.
Ng'ombe wa Mifugo ambae amenunuliwa na Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya maskini katika Shehia ya Kinyikani Wete, ambao walianzisha mfuko wa akiba na mikopo kupitia fedha zao za Ruzuku wanazopewa na hatimae kuanzisha miradi mbali mbali ikiwemo Ng'ombe wa Mifugo , aliepo Pichani.
Picha na Bakar Mussa -Pemba.
No comments:
Post a Comment