Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Kijichi na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Zimamoto Imeshinda Mchezo 1--0.

Kipa wa Timu ya Kijichi akiokoa bila ya mafanikio mpira huo na kumpita wakati wa hekaheka golini kwake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Zimamoto imeshinda mchezo huo bao 1--0
Wachezaji wa Timu ya Kijichi na Zimamoto wakirusha juu madaluga yao wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Zimamoto imeshinda bao 1--0
Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto akimpita beki wa Timu ya Kijichi.akiwa chini akigaragara wakati wa mchezo huo uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar.

Mchezaji wa Timu ya Kijichi na Zimamoto wakiwania mpira.
Kipa wa Timu ya Kijichi akijaribu kuokoa mpira huo bila ya mafanikio na kutoa nje wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan timu ya Zimamoto imeshinda 1--0.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.