Afisa Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Khalfan
Amour Mohamed, akielezea namna kituo hicho, kinavyoendesha mafunzo mabli mbali
kwa jamii, kulia ni Mratib wa Kituo hicho Fatma Khamis Hemed na kushoto ni
mfanyakazi wa kituo Asia Awadhi Ahmed.
Baadhi ya
wazazi na walezi wa watoto wenye ulemavu Pemba, wakisikiliza mada kadhaa
zilizowasilishwa kwenye mafunzo ya haki za binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha
Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na kufanyika afisini kwao
Chakechake
Mratibu wa
Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed
akifungua mafunzo ya siku mbili ya haki za bindamu, kwa wazazi na walezi wa
watoto wenye ulemavu kisiwani Pemba, katikati ni Afisa Mipango wa Kituo cha
Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba Khalfan Amour Mohamed na kushoto ni
Asia Awadhi Ahmed ambae ni mfanyakazi wa ZLSC
Mmoja wa
wazazi ambae anaishi na mtoto mwenye ulemavu, akichangia mada kwenye mafunzo ya
haki za binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC
tawi la Pemba, na kufanyika afisini kwao mjini Chakechake Pemba
Mtoa mada kwenye mafunzo ya haki za binadamu Fatma Khamis Hemed, kutoka Kituo cha
Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambapo mafunzo hayo yalifanyika
kituoni hapo Chakechake
Mtoa mada kwenye mafunzo ya haki za binadamu Khalfan Amour Mohamed, kutoka Kituo cha
Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, ambapo mafunzo hayo yalifanyika
kituoni hapo Chakechake
Mmoja wa
wazazi ambae anaishi na mtoto mwenye ulemavu, akichangia mada kwenye mafunzo ya
haki za binadamu yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi
la Pemba, na kufanyika afisini kwao mjini Chakechake Pemba.
(Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment