Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais Alihitubia Baraza la Kuliahirisha Hadi Mwezi wa Mei 2016.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Balozi Seif Ali Iddi akilihutubia wakati wa kuahirisha mkutano wa Kwanza wa Baraza la Tisa la Wawakilishi lililofanyika katika Ukumbi wa Baraza Chukwani Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilihutubia na kuliahirisha hadi mwezi wa Mei 2016 baada ya kuchangia Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein wiki iliopita.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akilihutubia na kuliahirisha hadi mwezi wa Mei 2016 baada ya kuchangia Hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein wiki iliopita.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.