VODACOM,BENKI YA STANBIC TANZANIA WAKABIDHI VITI MWENDO HALMASHAURI YA MJI
BARIADI MKOANI SIMIYU
-
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton
Mchau ( wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi
la Mwanz...
8 hours ago
ndio pale ninaposema serikali yetu haijitambui wala haijijui, kweli serikali kweli inashindwa kujenga vibanda vidogo vidogo ikawakodisha hao jamaa ili hizo bidhaa zisiwekwe chini? kipindupindu kweli kitakwisha hapo?
ReplyDelete