Habari za Punde

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka,Akiwa katika Ziara yake Wilayani Ngorongoro.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Tanzania Mhev Shaka Hamdu Shaka akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Ngorongoro baada ya kuwasili katika Kata ya Albalabal akiwa katika ziara yake.
 .Kaimu katibu Mkuu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akiwa na Viongozi wa UVCCM Kata ya Albalbal Wilaya ya Ngorongoro akitia saini kitabi cha wageni kabla ya kuwahutubia Vijana wa Kata hiyo wakati wa ziara yake.
Diwani wa Kata ya Albalbal Ndg:Emmanuel Gabriel Tonge Akihutubia kwa kumkaribisha Kaimu Katibu Mkuu Shaka H Shaka katika kata ya Albalbal
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akimkabidhi Kadi Mwanachama Mpya wa Jumuiya ya Vijana wa CCM na kupokea Vijana zaidi ya 51 wanachama Wapya katika Kata hiyo ya Albalbal Wilaya ya Ngorongoro.
 .Baadhi ya Wanachama wapya wakila kiapo cha chama
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akivishwa Vazi la Kimila la Kimasaii ikiwa ni ishara ya kupokelewa na Wananchi wa Kimasaii wa Kata hiyo. 
  Kaimu Katibu Mkuu Shaka H Shaka akicheza nyimbo ya kimasai pamoja na Wananchi wa kata ya Albalbal
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Mhe.Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia Wananchi wa Kata Albalbal Wilayani Ngorongoro. akiwa katika ziara yake kutembelea Mikoano kuimarisha Jumuiya ya Vijana wa CCM na kuangalia utekelezaji wa Jumuiya hiyo katika ngazi za Kata hadi Taifa. 
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akihutubia Wananchi wa Kata ya Albalbal Wilaya ya Ngorongoro.wakati wa ziara yake Wilayani humo. 
Wananchi wa Kata ta Albalbal Wilaya Ngorongoro wakimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akiwahutubia wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Ngorongoro kuzungumza na Vijana wa CCM kwa kuimarisha Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.