KOCHA wa timu wa timu ya Shaba ya Kojani inayoshiriki ligii kuu ya Zanzibar Ali Dau akizungumza na mwandishi wa habari wa kituo cha redio cha Zenj FM Is-haka Mohamed Rubea mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu Zanzibar kanda ya Pemba uwanja wa Gombani ambapo Shaba illala kwa mabao 7-1 (Picha na Haji Nassor, Pemba).
CBE na SWUFE ya China wasaini ushirkiano katika tafiti na masomo
-
Na Mwandishi Wetu
CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesaini makubaliano na Chuo Kikuu cha
Fedha na Uchumi cha Kusini Magharibi mwa China (SWUFE) kuimaris...
2 hours ago
Assalamu Alaykum!! Sasa jamani hii timu ya Shaba imecheza na nani!!
ReplyDelete